Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunautarajia jioni hii.
Inshaallah
FB_IMG_1557054102548.jpeg
 
jogoo kama atashindwa kubeba ubingwa msimu huu mpira utakuwa haujatenda haki kwa sababu mumecheza vizuri sana kama team, msimu uliopita mulitegemea zaidi nguvu ya mtu mmoja tofauti na msimu huu
Hata hivyo kitu kinachoweza kuinyima ubingwa Liverpool mwaka huu ni ubora wa ligi hiyo.
EPL ni ligi ngumu sana, mwaka huu imeonyesha ugumu zaidi. Sitohamaki wala kushtuka ikiwa tutaukosa ubingwa huo, kitu pekee kinachonipa faraja ni kwamba tumeupigania tangu mwanzo mpaka mwisho wa ligi bila kutetereka
 
This is mind boggling, how am I going to remember this lot?Easy,

if you split them up into two main groups according to the numberof black notes as shown below:And if you can’t remember which comes first Gor A you’re probably going Gaga -get it?

-GA -GA!!

What about the black ones, what are they called?Don’t worry I’ve not forgotten them, we’ll be dealing with them shortly, but first we’ll look at how the keysof the keyboard relate to music notation.
 
Music notation is basically a glorified graphusing groups of linescalled staves or staffs with the ‘time line’ being the horizontal axis from left to right and the pitch being the vertical axis.

How long a note is played for is determined by the time element of the note i.e. crotchet, quaver, minim etc. When it is played is determined by how far along the time line it’s placed. The pitch of the note is determined by how high or low it’s placed on the vertical axis(the stave).Simple -easy peasy-in theory!
 
As an example in the diagram below, the first note to be played is C which is the lowest pitched note of the phrase and is a crotchet (don’t worry I’llexplain all this shortly) followed by Eand Gwhich are higher pitched and played together. They are both minims which are sustained for twice as long a crotchet.

Then we have Awhich is the highest note of the phrase followed by Gagain both of which arequavers being timed half the value of a crotchet. And finally the last noteof the phrase is Ewhich is a Semibreve (notice that it has no stem) which is 4 times the time value of a crotchet

Screenshot_2019-05-05 Absolute Sample_2 pdf(20).png
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Harusi za Marekani

Walioalikwa :100
Wanaohudhuria kanisani :80
Wanaohudhuria ukumbini :70
Wanaotoa Zawadi:65
Vitu vilivyopotea : 0

Harusi za Uingereza

Walioalikwa :50
Wanaohudhuria kanisani :50
Wanaohudhuria ukumbini :40
Wanaotoa Zawadi:40
Vitu vilivyopotea : 0

Tanzania sasa

Walioalikwa :500
Wanaohudhuria kanisani :38
Wanaohudhuria ukumbini :1300
Wanaotoa Zawadi:70
Vitu vilivyopotea : simu 20,vijiko 300,visu vya kukatia keki 15, camera 1,chupa 2 Za wine, mdada kutongozwa na kudate na Mgeni mmoja wapo, wavulana kutafuta demu mpya, zawadi kuibwa, viti vilivyovunjika 50,meza zilizovunjika 5,watu kuondoka na mapambo, wamama kuondoka na misosi na nyama kwenye mikoba sijui huwa tunakwama wapi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu nmecheka sana,wabongo tunafeli sana aisee,kwamba watu wanaenda kusearch new date[emoji23][emoji23]
 
Kibongobongo ni sawa tu. Bongo wengi ni Developers.
ni kwa sababu ya mfumo wetu wa maisha ya kimasikini unatokanwa zaidi na kushindwa kwa serikali ndio umetujenga tuwe na tabia za kupapatikia kila jambo, unamaliza degree yako hujui hata ujiegemeze eneo gani.
ni shida tupu.
database upo wewe
coder wewe
developer wewe
language zote unataka kuzisoma wewe
web development upo wewe
android upo wewe​
matokeo yake unajikuta huna utofauti na mwanamke kahaba anayetumiwa kwa style tofauti
 
hahahahahaaaa liverpool mumekuwa bora kuliko sisi nyakati hizi.
dah muda unakwenda mbio sana.
wekeza vizuri ule vizuri
Kwenye soka la Ulaya uwekezaji hasa yafaa uanzie kwenye eneo la ufundi.
Liverpool ilitaabika kwa miaka 29 kwa kukosa ufundi wa maana tangu zama za Roy Evans, Gerrard Houllier, angalau kwa Rafa Benitez tuliona maarifa mengi ingawa kulikuwa na changamoto za kukosa mafungu ya fedha za usajili. Nadhani Man U wafikirie zaidi kocha atakeye wafaa kuwaondosha eneo hilo ili yasije kuwakuta yaliyoikuta Liverpool
 
ni kwa sababu ya mfumo wetu wa maisha ya kimasikini unatokanwa zaidi na kushindwa kwa serikali ndio umetujenga tuwe na tabia za kupapatikia kila jambo, unamaliza degree yako hujui hata ujiegemeze eneo gani.
ni shida tupu.
database upo wewe
coder wewe
developer wewe
language zote unataka kuzisoma wewe
web development upo wewe
android upo wewe​
matokeo yake unajikuta huna utofauti na mwanamke kahaba anayetumiwa kwa style tofauti
Hii ni shida tuko nayo! Afadhali basi watu kama hawa serikali ingewapigia pande Nchi za watu, maisha yange kuwa rahisi mno!

Watu wanakufa na Knowledge zao. Programmer Bongo huko nje ni Bonge la Genius ujue!
 
Undoubtedly any untrained musician would find the piano roll view simplerto understand, and it certainly has its uses when editing recorded music. But look at how much space it takes up compared to the first diagram. And remember this is a very short,onehand phrase.

So clearly, learning conventional music notation hasto be to everymusician’s advantage.In order to extend the vertical axis(in conventional notation) and potentially accommodate more notes, this is split into clefs. The two clefs used in piano music are the treble andbassclefsas shown next and these form the grand stave(or staff).

Screenshot_2019-05-05 Absolute Sample_2 pdf(22).png
 
Saying:“the two clefs used in Piano music” implies that there are other clefs.Yes there are several other clefs used by other instruments and singers, the most common being the Altoand Tenor clefs, but from the piano / keyboard point of view, you can completely put them out of mind, just simply know that they exist and forget about them!
 
The Grand Staff

The Grand staff is made up of two ‘staves’ or ‘staffs’ of five lines each, the top one being the ‘treble clef’ which is mainly used for the higher notes by the right hand and the ‘bass clef’ mainly used for the lower notes by the left hand.

Screenshot_2019-05-05 Absolute Sample_2 pdf(23).png
 
Back
Top Bottom