capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
BAK na magufuli ni ndugu wawili wasiojuanaMagufuli: Kama kuna mtu hawezi kwenda na kasi yangu leteni jina nimtoe
Kasi ya mwendawazimu
Itabidi tutume maombi kwa Mods waweke option ya thanks dublicater kwaajili yako ili ukipost kama hivi basi thanks ziwe nyingi nyingi kwenye post moja😛😛😛
namalizia kiporo changu cha kutoa likes si unajua sijatoa likes tokea siku ya ijumaaa.
nimetoa likes takribani kurasa 40 lakini cha ajabu nimeshindwa kuona comment ya shimba ya buyenze.
hivi kuna uhusiano wowote uliopo kati ya reginald mengi na SHIMBA YA BUYENZE ?
ngoja niendelee kutoa likes huenda nikabahatika kumuona humu ndani.
Amin[emoji120][emoji120]Sijawahi kujuta kuzaliwa, nampenda sana mama.
Mwenyezi Mungu amuweke mahali pema peponi.
dah! nilifikiri amekwenda kumliwaza mke wa marehemuItabidi tutume maombi kwa Mods waweke option ya thanks dublicater kwaajili yako ili ukipost kama hivi basi thanks ziwe nyingi nyingi kwenye post moja
SYB aliaga humu kwamba anaenda kwenye majukumu huko nyanda za juu kusini hivyo atarudi tarehe 30
Dahhh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Harusi za Marekani
Walioalikwa :100
Wanaohudhuria kanisani :80
Wanaohudhuria ukumbini :70
Wanaotoa Zawadi:65
Vitu vilivyopotea : 0
Harusi za Uingereza
Walioalikwa :50
Wanaohudhuria kanisani :50
Wanaohudhuria ukumbini :40
Wanaotoa Zawadi:40
Vitu vilivyopotea : 0
Tanzania sasa
Walioalikwa :500
Wanaohudhuria kanisani :38
Wanaohudhuria ukumbini :1300
Wanaotoa Zawadi:70
Vitu vilivyopotea : simu 20,vijiko 300,visu vya kukatia keki 15, camera 1,chupa 2 Za wine, mdada kutongozwa na kudate na Mgeni mmoja wapo, wavulana kutafuta demu mpya, zawadi kuibwa, viti vilivyovunjika 50,meza zilizovunjika 5,watu kuondoka na mapambo, wamama kuondoka na misosi na nyama kwenye mikoba sijui huwa tunakwama wapi.
😂😂 Usikute kaenda kufanya hivyo maana Yule nae hakawiidah! nilifikiri amekwenda kumliwaza mke wa marehemu
ebwana weeee kumbe jamaa ni jogooo la catalunya😂😂 Usikute kaenda kufanya hivyo maana Yule nae hakawii