Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1556962910436.jpeg
 
Damushin weka wasi posts tulike/tuthanks na sisi
😛😛😛
namalizia kiporo changu cha kutoa likes si unajua sijatoa likes tokea siku ya ijumaaa.
nimetoa likes takribani kurasa 40 lakini cha ajabu nimeshindwa kuona comment ya shimba ya buyenze.
hivi kuna uhusiano wowote uliopo kati ya reginald mengi na SHIMBA YA BUYENZE ?
ngoja niendelee kutoa likes huenda nikabahatika kumuona humu ndani.
 
Ukirudi nyuma kidogo utaelewa ni kwanini humuoni.
Hakuna uhusiano baina ya mmachame R A Mengi na Mkoromije SHIMBA YA BUYENZE.
 
Mkufunzi wa klabu ya Manchester United Ole Gunnar Solskjaer ameanzisha harakati zake za kumsajili mshambuliaji wa Lyon Moussa Dembele, 22. (L'Equipe, via Mirror)
kama anashida ya mshambuliaji si ashindane na real madrid kwa ajili ya Luka Jović wa eintratch frankfurt.
klabu inayohangaika kwa ajili ya kumpa kandarasi mpya JUAN MATA imeshapoteza muelekeo
 
Back
Top Bottom