moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Karibu mgeni mwema,Mtukufu Ramadhan waislamu fungeni,Mpate Afya njema [emoji287][emoji287][emoji287]

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahaha chelewa za fagio
Golikipa wa kimataifa raia wa Uhispania David de Gea, 28, amepewa wiki moja ili kuamua mustakabali wake na klabu yake ya Manchester United. (Sun)

[emoji23][emoji23]Hawa Newcastle nao vipi sasa, aah! [emoji6]
Barcelona wametangaza dau nono na la kushtukiza la pauni milioni 70 ili kumnasa mshambuliaji wa Arsenal Mfaransa Alexandre Lacazette, 27. (Sunday Express)