moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha! Naona mzee unachochea kuni
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha! Naona mzee unachochea kuni
Uzinduzi ulivunja rekodi zoteHahaha ule uzinduzi umehifadhiwa kwenye kitabu cha Guinness
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee mwenzangu hili figisu lako jau
Sijawahi kujuta kuzaliwa, nampenda sana mama.Unampenda mama na unajuta kuzaliwa
Kujuta kuzaliwa ni aina furani ya kuchukukizwa na changamoto za uhai.Unampenda mama na unajuta kuzaliwa
Mwenyezi Mungu utuondoe Duniani baada ya kutusamehe dhambi zetu.Unapenda Pepo na unaogopa kufa