moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahahahaha, kwa uzinduzi mara kwa mara unaofanyiwa na kufichwa fichwa huku na huko, bro wewe siyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah bado tupo
Hahahahaha, kwa uzinduzi mara kwa mara unaofanyiwa na kufichwa fichwa huku na huko, bro wewe siyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah bado tupo
Ila uzinduzi wa Rock City,ulivunja rekodi [emoji23][emoji23]Hahahahaha, kwa uzinduzi mara kwa mara unaofanyiwa na kufichwa fichwa huku na huko, bro wewe siyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Salaam kwako pia, ila baadhi ya marafiki zako ni sehemu ya njia za mafanikio yakoKuna wakati utalazimika kuachana na Marafiki ili upate Mafanikio.Nawasalimia wapendwa.
Hahahah aiseeHahahahaha, kwa uzinduzi mara kwa mara unaofanyiwa na kufichwa fichwa huku na huko, bro wewe siyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaha! Naona mzee unachochea kuniIla uzinduzi wa Rock City,ulivunja rekodi [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahah aisee
Hahaha ule uzinduzi umehifadhiwa kwenye kitabu cha GuinnessHahaha! Naona mzee unachochea kuni
Maprofesa na wataalam wengine waone aibu, wanakubali kufanya kwa msukumo bila kujali taaluma zao. Lawama zote zinawahusu
😂😂😂😂 mzee mwenzangu hili figisu lako jauHahaha ule uzinduzi umehifadhiwa kwenye kitabu cha Guinness