Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1556962892541.jpeg
 
Hongera sana ila jamaa nimempenda. Japokuwa ni wimbo tu lakini alifanya vizuri kukataa kuwemo kwenye ile video na kwa kuwa mademu wengi wanampenda huyo njemba jinsi alivyo. Queen B akamzukia tena na kibao cha Halo na jamaa baada ya kuusikia ule wimbo hakusita kutia timu na wakatengeneza bonge ya video. Nazipenda nyimbo nyingi sana za Queen B but that is my number one.



Nadhani Duniani nipo Mimi na Michael Ealy .
 
Back
Top Bottom