[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee mwenzangu hili figisu lako jau
Ata najuta kwanini jana nilimtumia salamuNimestuka kuiona hii huku lol! hahahahahahahahah. Maana kauli ya CardiB hapa ni hatari tupu na nimemtumia mtu just few hours ago. Nilipomuona nikasema duh! nimeipost hii huku ikabidi niangalie haraka sana nani kaipost. Huyu mrembo ni hatari mdomo wake hauna break. Ila hilo linamuongezea umaarufu mkubwa sana mbali na muziki wake.
[emoji818][emoji818]Thriller
1982
[emoji818][emoji818]Bad
1987