Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Ha ha ha Hawachi bhanaHahaha yako imezidi
Ha ha ha Hawachi bhanaHahaha yako imezidi
Ntakuja kula futariUtakarbia hata kusindikiza mwezi Numbisa
Si umjibu tu nani huyo kwenye Avatar?[emoji23][emoji23][emoji23] ,rangi ya mtume kama ya kwako
Karibu kwetu jiraniHodiii
Watakufanya nini bro?Maishani usiwe dereva kwenye basi la wazinzi
Hee! hatutakiwi hata kuwa nayo?
Ukiwa dereva wao inamaanisha wewe ndio kiongozi wao, nadhani tunajua out comes za uzinziWatakufanya nini bro?
Extinct kama Dinosaurs[emoji1][emoji1]View attachment 1088092
Hahah bado tupo[emoji1][emoji1]View attachment 1088092
J Cole,,ni msanii wa muziki wa hip hop na kwenye hiyo avatar yupo na mke wakeSi umjibu tu nani huyo kwenye Avatar?
Hee! hatutakiwi hata kuwa nayo?
[emoji2][emoji2][emoji2]sawa Numbisa,karbu sana kwenye ile mitaa yetuNtakuja kula futari
#usaidizimuhimumsijemkavimbewa