Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Ungekunywa maji tu bro[emoji2][emoji2] hii ulifunga kula pekeeNilishawai kuamka saa moja asubuhi alafu daku lilikua limesimama sana hiyo siku basi nikaona usinitanie, nililitafuta giza kwa nguvu zote kwa kufunga madirisha kwa mapazia mazito. Giza lilivyotokea nikala alafu nikalala tena