Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Ningeweza kuwaongezea elfu tano tano au elfu kumi, kesho tu bidhaa zingeanza kupanda bei hivyo lazima kwanza tujenge uchumi imara, mimi mwenyewe nilikuwa mwalimu na ndiyo maana nikaenda kuoa mwalimu mwenzangu anayejua shida zetu" - Rais Dk. John Magufuli. #KwanzaHabari
 
Mshambuliaji wa Leeds Caleb Ekuban, 25, ambaye yuko kwa mkopo katika klabu ya Trabzonspor, anatarajiwa kukamilisha uhamisho wa dau la £2m kuelekea katika klabu ya Uturuki baada ya kutangaza kwamba huenda akasalia katika klabu hiyo kupitia kandarasi ya kudumu. (Yorkshire Post)
 
IMG_4629.JPG
 
Back
Top Bottom