Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
HahahaaVidonda vyangu vya Tumbo vimeshtuka
HahahaaVidonda vyangu vya Tumbo vimeshtuka
Haya la karibu hili hapa. Ni kweli kila account email yake😁😁😁 Mbali kwelikweli
Good thank youCool Frag,,how are you??
Ok sawa! Asante sanaHaya la karibu hili hapa. Ni kweli kila account email yake
Halafu mida kama hii wengi wanaanza kuumwa huu ugonjwa sijui kwaniniVidonda vyangu vya Tumbo vimeshtuka
🤣🤣🤣Chimpumu inalewseha hata mbege kama haupo vizuri chali makundi ya pombe pia haya
Bado kidogo hapo .. revise😁Asalyam alyequm kaifa
Funga ni kazi sana sema tu ni lazimaHalafu mida kama hii wengi wanaanza kuumwa huu ugonjwa sijui kwanini
Kwa upande wenu ni simple yaan nile daku halafu nione njaa hapana banaFunga ni kazi sana sema tu ni lazima
Masaa 12 bila kula wala kunywa ni ngumu sana ila inavumilika na kuzoeleka pia hiyo sio kesi sana, issue ni zile sheria zake ile funga iwe imekamilika. Wooi wooi wooiKwa upande wenu ni simple yaan nile daku halafu nione njaa hapana bana