Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahah haina ugumu hiyo bro ila uwe umeoa sasaYaani hata kwenye mfungo hamchukui kadi za club ya wagumu?
Hahah haina ugumu hiyo bro ila uwe umeoa sasaYaani hata kwenye mfungo hamchukui kadi za club ya wagumu?
Wapinzani wakubwa wa Liverpool ambao ni Everton ndio watakua wameziteka sana 😂View attachment 1087836
Scarves za Messi zimeuzika sana hapo London uingereza kuliko kawaida kuelekea mechi yao ya marudiano hapo jumanne ya wiki ijayo
Habari hii nimetumiwa na Binti Mpole
Hahah! Punguza speed broYou must wait at least 2 seconds before performing this action. 😀 😀
15:3016:00 - 17-15
Maprofesa na wataalam wengine waone aibu, wanakubali kufanya kwa msukumo bila kujali taaluma zao. Lawama zote zinawahusu
- Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Musukuma ameitaka Serikali ya Tanzania kujaribu kuweka mawaziri wenye elimu ya darasa la saba kwa sababu wizara ya maji imekuwa na mawaziri maprofesa lakini wameshindwa kuondoa tatizo hilo nchini.
Mambo ya kizamani haya.
Wanawake Mungu anawaona.
Salaam HawachiInasikitisha mno