Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante sana mkuu kwa msaada wako nitaendelea kufuatilia nikipata jibu nitakujuza
 
Hahahahaha bado kuna game anfield usihofu nipo napata Konyagi hapa huku nalike naona social media zote Mengi Mengi hasa utata wa kifo chake

Yeah wazee hawa wanashinda kuukubali ukweli kwa mfano hata Professor nae atakuwa anasaidiwa na vijana

Kupindua Matokeo haiwezekani hii Mzee wa liver pale Anfield lazima Messi apate Goli hata mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…