Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna watu walidai uandishi wa aina hii ulikuwa simple sana,unaona baada ya watu kumzoea hana jipya tena

Ni kama vile Roma,kipind kile walidai uandishi wake ni kama ngonjera vile afadhal siku hz anajitahidi
Hahah kweli iandishi wa kufananisha kitu na kitu kingine huwa ni simple sana yani nyimbo nzima inajaa maneno "Kama"
 
Kuna watu walidai uandishi wa aina hii ulikuwa simple sana,unaona baada ya watu kumzoea hana jipya tena

Ni kama vile Roma,kipind kile walidai uandishi wake ni kama ngonjera vile afadhal siku hz anajitahidi
Roma nae siku hizi huu ujio mpya wa uchanaji wake umeanza kunichosha hasa pale anasema kitu cha kuchekesha na yeye kama anacheka hivi...

Tafuta New joint ya Jose Mtambo ft Matonya na Roma inaitwa "Nimesahau"
 
1088957
 
Back
Top Bottom