Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Arsenal na yeye anaenda wapi sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1557069016578.jpeg
 
Kiungo Pogba hatima yake imekuwa haifahamiki huko Manchester United na kwa muda mrefu amekuwa akihusishwa na mpango wa kwenda kujiunga na Real Madrid. Taarifa zilizopo kwa sasa huenda staa huyo akaenda kutua Bernabeu mwishoni mwa msimu.
 
Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane ametajwa kuiwinda sana huduma ya Mfaransa mwenzake huyo ambaye ndiye mchezaji ghali kwenye Ligi Kuu England kwa sasa baada ya Man United kumsajili kwa Pauni 89 milioni kutoka Juventus mwaka 2016.
 
Lakini, ripoti za kutoka Hispania zinadai kwamba huko kwenye vyumba vya kubadilishia vya klabu ya Real Madrid mambo yamekuwa tofauti kwamba kuna wachezaji hawataki kumwona kabisa Pogba kwenye timu hiyo
 
Staa mwingine wa kiwango cha dunia anayesakwa na timu hiyo ni Eden Hazard wa Chelsea ambapo kocha Zidane ameripotiwa kuwa na mkwanja mrefu wa kunasa vichwa vya maana tupu anavyotaka kwenye kikosi chake.
 
Back
Top Bottom