Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ujue United itakiwa kubomolewa kabsa,pale kuna wachezaji bado wa Mzee Furgson aliowaacha bado wanacheza,kuna wachezaji wa makocha hawa Moyes,Van Gal, Special One,,sasa wote hao wakichanganyikana kujua pumba na mchele ni ishuu

Mfano mzuri,,Pep alipokuja City,ule msimu wa kwanza alitumia kuisuka timu,zile pumba zote akawa anazimwaga moja baada ya nyingine wale kina Zabaleta na wengineo,,,leo hii City inakikosi kipana ni wachezaji wachache aliowakuta na bado wanapewa namba kwenye kikosi chake..

Tatzo la United ni Ed Woodward hatoi pesa ya kutosha kufanya usajiri wa maana na bado tunataka mafanikio ya haraka ili hali timu yetu mbovu.
Kutumia pesa ni muhimu sana kwenye usajili
Usajili wetu wa Allison ,na VVD uligharimu lakini umetusaidia sana msimu huu
 
Waliokalia kiti chetu wajiandae kuinuka [emoji1787][emoji1787]View attachment 1088985
2 points only
IMG-20190505-WA0016.jpeg
 
Back
Top Bottom