Muhimu sana jamaa walitufadhili sanaHahah umenikumbusha mbali sana mzee, niko poa za kwako?
Ngoja nitaifuta mzee,Roma nae siku hizi huu ujio mpya wa uchanaji wake umeanza kunichosha hasa pale anasema kitu cha kuchekesha na yeye kama anacheka hivi...
Tafuta New joint ya Jose Mtambo ft Matonya na Roma inaitwa "Nimesahau"
Sawa mkuu naona barca wanakwenda kupigwa AnfieldMzee wa liver naiweka hii comment yako kumbukumbu Messi lazima afunge pale Anfield
hahahahaa hata tukishinda top 4 ni ngumu kuingia, uzi wa manchester united upo kimya na si jambo la kawaida.
cole williams ameamua kujificha kwenye uzi wa likes.
bado naukumbuka ushauri wake aliotoa kwenye thread ya man utd.
kuliko kutumia nguvu kubwa kushindana uefa ni bora tuelekeze nguvu kwenye ligi kuu
Kwa kumaliza huku kuna tofauti gani kati ya The Special One na Ole??Man united out of Top 4 spot
Ile kitu kweli ilikua nzito sana ila big Jose basi tu Yule jamaa sijui nyota hanaNgoja nitaifuta mzee,
Ha ha ha Roma mizinguo toka zamani,niliwahi kuupenda wimbo wake mmoja tu,niliupenda tokana na colabo alimpa Jose Mtambo ile ngoma huwa kali sana "Kidole Cha Mwisho Juu"
HakikaHahah City adrop tena??
Tufanye hivi kila mtu ashinde mechi zake alizobakiza tutajua bingwa ni nani,tusiombeane mabaya[emoji23][emoji23][emoji23]
WACHOCHEA MOTO UKIJA KUWAKA MZIMAJI NANI.Ni sawa kwa Mzee wa liver kuamini watapindua matokeo na kuwaondoa Mashindanoni Barcelona
Sawa mkuu naona barca wanakwenda kupigwa Anfield
Mkongwe yule,anajua sana toka enzi zile,nasikia ulevi ndio chanzo cha yeye kupotea sana,ni mtumiaji mzuri wa pombe aina ya gongoIle kitu kweli ilikua nzito sana ila big Jose basi tu Yule jamaa sijui nyota hana
Sanaaa inatakiwa mara moja moja tukawasalimieMuhimu sana jamaa walitufadhili sana
Kwa kumaliza huku kuna tofauti gani kati ya The Special One na Ole??
Hahahah gongo tena mzee kweli jauMkongwe yule,anajua sana toka enzi zile,nasikia ulevi ndio chanzo cha yeye kupotea sana,ni mtumiaji mzuri wa pombe aina ya gongo
Hata hivyo bado naamini tulikua na msimu mzuri sana mwaka huuUjue Kilichowacost Liverpool ni draw nyingi sana (7),imagine wamepoteza mechi moja pekee hadi sasa ila bado wanazidiwa na City waliopoteza game 4..ila wanadraw 2 tu,,ni mahesabu tu Klop alikosea ila mlikuwa na msimu mzuri sana.
WACHOCHEA MOTO UKIJA KUWAKA MZIMAJI NANI.
mzee wa liver atakuja na hadithi za mwaka 2005 ya kwamba alipindua matokeo dhidi ya AC MILAN ngumu.
Ujue United itakiwa kubomolewa kabsa,pale kuna wachezaji bado wa Mzee Furgson aliowaacha bado wanacheza,kuna wachezaji wa makocha hawa Moyes,Van Gal, Special One,,sasa wote hao wakichanganyikana kujua pumba na mchele ni ishuuMimi sikutaka Jose afukuzwe kabisa lakini wapenda mihemko walipenda alivyofukuzwa