DEMU: Baby, hivi unaweza kuongea Kitaliano, Kijerumani na Kifaransa? Maana ninaona unapenda sana michezo yao....
NJEMBA: Ndiyo, ninajua kila kitu....
DEMU: Mmmh, hebu ongea kidogo nisikie....
NJEMBA: Neymar Totti Messi Ancelotti del Piero Gonzalez Dybala Arbeloa Maldin Di Natale Kante Atlético....
DEMU: Wow! Maana yake nini?
NJEMBA: Babe, nitakupenda na kukuenzi kwa muda wote wa maisha yangu....
DEMU: Ninakupenda sana....
NJEMBA: Ngolo Kante...
DEMU: Na hiyo in maana gani?
NJEMBA: Ina maana ninakupenda pia....
😂😂😂😂😂😂😂