Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ee si kasahau kuweka kithungu handsomeHahaha mwanaume mrembo tena?
Ee si kasahau kuweka kithungu handsomeHahaha mwanaume mrembo tena?
swadakta hususan ofisi za serikalini
mjinga ni huyo mwanamke anayeigiza unene kumbe ni mwembamba kama mgonjwa wa kifaduro.DEMU: Baby, hivi unaweza kuongea Kitaliano, Kijerumani na Kifaransa? Maana ninaona unapenda sana michezo yao....
NJEMBA: Ndiyo, ninajua kila kitu....
DEMU: Mmmh, hebu ongea kidogo nisikie....
NJEMBA: Neymar Totti Messi Ancelotti del Piero Gonzalez Dybala Arbeloa Maldin Di Natale Kante Atlético....
DEMU: Wow! Maana yake nini?
NJEMBA: Babe, nitakupenda na kukuenzi kwa muda wote wa maisha yangu....
DEMU: Ninakupenda sana....
NJEMBA: Ngolo Kante...
DEMU: Na hiyo in maana gani?
NJEMBA: Ina maana ninakupenda pia....
😂😂😂😂😂😂😂
“Instead of politicians, let the monkeys govern the countries; at least they will steal only the bananas!”Usafiri wa Mkuu wa Mkoa wa Dar es saalam. We're draining the ocean. Wakati bajeti ya maji zinapitishwa tsh 299bn zilizokwenda ni tsh 1bn. RC DSM anaendesha 'Infiniti' QX60, the luxury vehicle division of Japanese automaker Nissan. Bei ni $35,000-$50,000.. bado wanawaita wanyonge?