Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mjinga ni huyo mwanamke anayeigiza unene kumbe ni mwembamba kama mgonjwa wa kifaduro.
 
Mke alilala nje akamsaliti mmewe aliekuwa
amesafiri kikazi.Asubuhi akapanda daradara arejee
nyumbani mmewe akampigia simu.
MME: Helo
MKE: Helo darling
MME: Uko nyumbani ?
MKE: Ndiyo,kwa nini Umeuliza hivyo.
MME: Aaa! nilitaka kujua tu.
MKE: Yaani wewe huo wivu wako utakuua,bila
hata salaam unakurupuka kuniuliza niko wapi,ivi
unanihesabu kama mwanamke nisie thamaini
ndoa yangu eti,yaani unanichukuria mi ni mtu wa
kuchomwa chomwa Sana,mbona hunieshimu
mi mkeo,mbona huniamini jamani? Nifanye kitu
gani ili uamini kuwa Sina mwingine zaidi
yako.Kwa nini unanidhalilisha hivi utafikili hujui
kuwa namcha Mungu,au kwa kuwa wazazi
wangu hawapo tena duniani,ndo umeamua
kunifanya takataka.
MME: OK! nisamehe nimekosea mke wangu
MKE: Aaa! sometimes unakera bwana yaani
unamawivu hadi Unafanya watu wanichukulie mi
malaya.
MME: Nisamehe mke wangu nimekosea.
MKE: Nimekusahe ila usirudie tena darling
MME: Ahsante honey
MKE: OK! Darling niambie uko kazini?
MME: Hapana
MKE: Uko wapi honey wangu
MME: Niko siti ya nyuma nataka nikulipie
nauli,subiri tufike nyumbani pumbavu wewe.
By
The man who killed himself and
ran away
The end
 
“Instead of politicians, let the monkeys govern the countries; at least they will steal only the bananas!”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…