babe S
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 3,879
- 20,859
Sana tu..Kumbe mpo wengi. Nice
Sana tu..Kumbe mpo wengi. Nice
Maana hutoki mda wote uko onlineHahahaa kwann sasa?
Black beauty tulikumiss sana[emoji6] [emoji5] [emoji5]
Daah itabidi tu mana si kwa mate haya yalionijaaHahaha kesho ukanunue. Tamu sana
HahahhahMaskin weee
Kuwa on line jaman mda wote huoKuchoka nn?
Kula likes kwanzaHahaha kesho ukanunue. Tamu sana
Hahahaha mlipotea aiseeNamsubiria Babe S afike tukale
Asantee...niliwamiss pia..mnooBlack beauty tulikumiss sana
Duh numbisa kakaxa kinomaNumbisaaaaa. Hongera naona mtu anaomba pooo
Mi ni mwenyekiti hapaKaribu kibiti