Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pablo Sarabia

– Euro 18 milioni

Kiungo mshambuliaji Pablo Sarabia ndiye injini ya kikosi cha Sevilla katika kampeni yao ya kuhakikisha wanamaliza ndani ya Top Four kwenye La Liga ili kukamatia tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.
 
Msimu huu, Sarabia amefunga mabao 11 na kutengeneza mengine 13 katika mechi 32 alizocheza huku kitu kinachoshangaza ni kwamba staa huyo mkataba wake una kipengele kinachohitaji kulipiwa Euro 18 milioni tu kama unahitaji kupata huduma yake.

Si ajabu kwake kuwindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…