Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

57511916_145496156501803_4827922884710220223_n.jpg
 
Mfanyakazi aliyeajiliwa kusafisha Majani ya mti mkubwa uliokuwa unachafua nyumba ya mfalme !!! . . Mfanyakazi huyo alikuwa analipwa pesa nyingi sana kusafisha !!!! One day akaona huo mtu unamboa !!! Kila siku anasafisha , mti unaangusha matawi !!! Basi akaja na panga na kuukata huo mti !!!! . . Kesho yake alipokuja akakuta kibalua kimeisha !!! Akamuomba sana Mfalme plzzz ulinilipa vizuri , siwezi pata kazi yenye Mshahara kama huu !!! . . Mfalme akamjibu , nilikuajiri kusafisha majani ya mti now mti haupo tena !!! Unataka kusafisha nini ????
Numbisaaaaaaaa, juzi ilikua ngapi ngapi?😀😀🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom