capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Sunbae kwenye misiba ndio sehemu wenyewe ya utani yaani misibani ndio watu huwa wanajua maana ya utaniutani kwenye msiba?
uyo ahjumma anapaswa apimwe mkojo huenda mkojo wake una chembe chembe za ubaradhuli haijalishi ni mwanamke
Nzuri za kwakoHabari zenu ndugu zangu
Walaykum msalamAsalaam Alyeikum
Maa lekum salaamAsalaam Alyeikum
Is it Waalaykum or Maa lekum?Walaykum msalam
Mzima, vipi Ramadhani imeshaaza pande zenu?Nzuri za kwako