Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zipo aina nyingi sana, kuna baadhi ya maembe utayapata Kisiju Mkuranga lakini hutalipata Bagamoyo, baadhi ya Maembe yapo Morogoro tu hutalipata Iringa.
Ni hivyo
Nimewahi kuskia aina za Apple zipo zaidi ya 400 kama sikosei ... nisahihishe. Nilitegemea labda kuna idadi halisi ya aina za Embe inayojuikana pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…