Hivi sasa mastaa wa Tanzania naona nguo zao ni mzigo tu.Hahahaa ustaa gharama
Binafsi sijasoma mahali kuhusu idadi za embe.Nimewahi kuskia aina za Apple zipo zaidi ya 400 kama sikosei ... nisahihishe. Nilitegemea labda kuna idadi halisi ya aina za Embe inayojuikana pia.
David[emoji23][emoji23]