[emoji23][emoji23]capital ana shida sana na six pack zake[emoji23][emoji23]nimeiona moja anajipiga mwenyewe kakideo ile ya kula tunda sijaiona🤣🤣🤣 wanasema video imeghushiwa.. anayeshughulika ana six pack kama za Capitalpool wakati Mchungaji ana one pack .. Mlioiona ana six pack kweli?
Halafu mapazia sijui yanatofaitiana etc
🤣🤣🤣Asante ila humu watu wachoyo kweli yaani nimeomba nimechoka huko Instagram hakuna
Tupo hapa.Mashabiki wa liver msijifiche kwenye video ya Gwajima tunajua baadae mnacheza na Barca
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
A'm on One
Mkuu nitumie ili baada ya ramadhani niipitieNenda PM mzigo tayari
ni vinini hivi Moudy?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nitumie ili baada ya ramadhani niipitie
Hahahaaha jamaa kwa fix hajambo*Gwajima kasema hiyo video ni kabla hajaokoka*
*THIS CASE IS CLOSED, OVER*
🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23] Kifo cha mdudu mende.
😂😂Tupo hapa.
Nimeshajiandaa kisaikolojia.
Nipo tayari kwa lolote. Mechi ikiisha naomba mwageni povu lote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haha hahahaa Nasikia ametuangusha sana Bidada!
20:07 bado tu hujaenda kwenye kikao 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaa mbali na video chafu ya Askofu Gwaji.Hee jamani kuna video ya kulia daku leo..
jamani mwezi mtukufu huu