Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Let it Be
Huwaga wana roho ngumu na hoja tata. Kuna yule mmoja wa Mwenge alifumaniwa na mke wa mwanasheria mmoja maarufu, watu wake wakadai eti huyo mwanasheria na mkewe walimtegea ili kumpima imani Askofu wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui wanajisikiaje tu bro, ata kanisani wanaweza wasiende hiyo j2
Unaijua kombolela wewe?Maisha kombolela mtata nipo kichaka wewe unazinga
Matunda hayo mkuunini hiki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wajinga sanaHuwaga wana roho ngumu na hoja tata. Kuna yule mmoja wa Mwenge alifumaniwa na mke wa mwanasheria mmoja maarufu, watu wake wakadai eti huyo mwanasheria na mkewe walimtegea ili kumpima imani Askofu wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashukuru mi mzima.. nimeshiba hatariii
Karibu daku kulaHongera kwa shibe
Hata karibu ???
Hahah inawezekana camera haikumfurahisha😂 Jamani ..labda hakupenda kurekodiwa!
Unaijua kombolela wewe?
Matunda yanaitwaje?Matunda hayo mkuu
Embu elezea inakuwajeYeah naijua vyema sana. je wewe waijua ???
Karibu daku kula