Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Timu hizo tatu zimekuwa kana kwamba zinaogopa kuwa kwenye Top Four’ kwa sababu mmoja akifungwa huku mwingine akisubiriwa ashinde ili ampite naye anafungwa, akishinda huyu naye anashinda na akienda sare naye anaenda sare kama ilivyokuwa Jumapili hii kwa Arsenal na Man United.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…