Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijui wanajisikiaje tu bro, ata kanisani wanaweza wasiende hiyo j2
Huwaga wana roho ngumu na hoja tata. Kuna yule mmoja wa Mwenge alifumaniwa na mke wa mwanasheria mmoja maarufu, watu wake wakadai eti huyo mwanasheria na mkewe walimtegea ili kumpima imani Askofu wao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…