Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwahiyo maji ya kakao aka cocoa hunyweka kama hapa Pwani tunavyokunywa maji ya dafu si ndiyo jirani
 
Asante ankoo

#mjanewetualikuaanaliakizunguleo
 
Kuanza biashara kutoka kiwango cha sifuri siyo kazi rahisi. Kama mjasiriamali utakutana na changamoto nyingi. Hili haliwezi kuwa tatizo ikiwa uko tayari kujifunza kutokana na makosa na kufahamu njia za kuyaepuka huko mbeleni.
 
Hivi ndivyo wajasiriamali wengi wanavyojifunza na kukua. Unapokuwa kwenye biashara ni lazima ufahamu makosa ambayo yanaweza kuathiri biashara au uwekezaji wako; ili ujitahidi kuyaepuka ama kuyapunguza kadri iwezekanavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…