Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wengi huishia kuzitumia kwenye mambo yao binafsi au kwa mambo ambayo hayana tija kwa kampuni au mradi. Ni lazima uwe na nidhamu ya pesa kama mjasiriamali ili uweze kuiwezesha biashara yako kukua; tambua hii ni pesa ya mradi au biashara na si ya matumizi yangu binafsi.
 
Matumizi mabaya ya fedha

Watu wengi hawana matumizi mazuri ya fedha hasa wao binafsi. Tatizo hili limekuwa pia likijitokeza pale mtu anapotakiwa kusimamia na kutunza pesa za mradi au biashara.
Numbisa mambo??

Sikujua kama huku ndio kuna masukari mengi namna hii....najuta kuchelewa kufika.

Asante kwa kunitonya - naomba basi ile kitu kwa dm nipatie handasi ya game ya liverpool hapa [emoji3][emoji3]
 
P

Poa mkuu huku papo safi kabisa

Tuwasubirie wenye nayo watutumie. Naona wameenda jaza MB
Hahaha....longtime not connected.

Toka unihamishe isidingo, tukakutana Man u kule Anti-Mou walipozidi kuchonga nikabeba kilicho changu nikasepa.

Humu naona naweza kupiga kambi - naomba niwe Uzi-mate wenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahaha....longtime not connected.

Toka unihamishe isidingo, tukakutana Man u kule Anti-Mou walipozidi kuchonga nikabeba kilicho changu nikasepa.

Humu naona naweza kupiga kambi - naomba niwe Uzi-mate wenu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]humu anakaribishwa kila mtu kwa sharti la toa thanks upewe thanks
 
Kujipanua bila mipango

Wajasiriamali wengi huwa wana mawazo makubwa na mazuri lakini wanakosa mikakati na mipango mizuri ya kuitekeleza. Unafungua mradi fulani leo na unafanikiwa ndani ya muda mfupi, nawe bila hata kujenga msingi imara wa kiuchumi na rasilimali nyingine unakimbilia kufungua mwingine au tawi. Hili ni kosa ambalo limeua maduka mengi yanayoanzishwa na wajasiriamali. Jifunze kujiandaa na kuweka misingi imara pale unapotaka kupanua au kuongeza mradi wako ili ule wa awali usife.
 
Kutokuajiri wafanyakazi wenye uwezo

Kama ni lazima kuajiri watu basi epuka kosa hili ambalo mara nyingi wajasiriamali hulifanya kwa huogopa garama za kuajiri watu wenye uwezo kwa ajili ya kufanya nao kazi. Ni dhahiri kuwa “rahisi inaumiza”; hivyo ni vyema ukaajiri hata mtu mmoja bora kuliko kuajiri watano wenye uwezo duni. Ukizingatia hili utajikuta unapata matokeo stahiki kutoka na kile ulichowekeza.
 
Kupuuza maoni ya wateja

“Mteja ni mfalme”; je unalifahamu hili? Wajasiriamali wengi hupuuzia maoni ya wateja bila kujua kuwa maoni ya wateja ndiyo huwawezesha kujirekebisha na kuweza kuwapa wateja wao kile wanachokihitaji. Kosa hili lisiposhughulikiwa litakupotezea kiasi kikubwa cha wateja na kuleta matokeo mabaya kwenye biashara au mradi wako.
 
Kuacha fursa zipite

Wajasiriamali wengi hupenda kungojea mazingira yawe mazuri bila hata kujali fursa zinazopotea. Ni dhahiri kuwa hakuna mtu atakaye kutengenezea mazingira unayotaka; ukiona fursa itumie na mambo yatakaa vyema mbele ya safari. Inawezekana fursa unayoiona leo kesho isiwepo tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…