Usichoke...Nimwchoka kuwalambisha like
NaliamshaaaaaDude
Nipo Baby S. Ulikuwa umepotea sana. Kwema huko uliko?Shimba ya Buyenze yuko wapi..?
Atakua anajibebisha kwa jakitooShimba ya Buyenze yuko wapi..?
ndo kanuni ya huu uziWeka likes pata likes
Naona isk ujamkaribishaKula likes wewe
Asante kwa mkaribisho wako mubasharaKaribu tena
Yupndo kanuni ya huu uzi
Kuna nini wakuu? Data gani zinahitajika?Ngoja aje Shimba Ya Buyenze
Haujambo bidada??? Karibu sanaHahaaa ndio jamani mbona watu wanadoubt my sex[emoji28] au ni hili jina
Jamani mimi ni msichana wa kike.
Ni mkristo asiyeeenda kanisani mara kwa mara.
Bado ninasoma chuo.Afya.
Napenda Music saaaaaaaaaaana.
Na nawapenda wote.
Na napenda likes zenu pia.
Aisee..Atakua anajibebisha kwa jakitoo
HahahahaNaliamshaaaaa
Kula likes kwanzaWakuu, leo hatufiki 10,000?