Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] mimi mzima kabisa hayo mengine mtafute mzee wa data
Hajaachika. Aliamua kuacha mwenyewe. Ni hiki kijamaa kinachoitwa Kichwa Kichafu. Kinaumiza mioyo ya dada zetu sana. Kinawaingia kwa gia ya pete za uchumba halafu kikishaiteka mioyo yao kinahamia kwingine haraka. Saa hizi kinahangaika na totoz moja inayoishi Sauz baada ya kufanya madhara makubwa kwa Nsamaka, Carpa na akina dada wengine humu. Ni shida!
 
Back
Top Bottom