Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Tupe facts broNimethibitisha video imetengenezwa.
Tupe facts broNimethibitisha video imetengenezwa.
Kwa macho unaweza ona ingawa si rahisi sana sababu ya Quality ya video yenyewe. Ni rahisi sana kwa kutumia illustrator ina uwezo wa kuchambua vipande vyote vilivyo ungwa kwa video husika.Tupe facts bro
Umetumia hiyo illustrator kujiridhisha?Kwa macho unaweza ona ingawa si rahisi sana sababu ya Quality ya video yenyewe. Ni rahisi sana kwa kutumia illustrator ina uwezo wa kuchambua vipande vyote vilivyo ungwa kwa video husika.
Nimejiridhisha, video imetengenezwa.
Sina illustrator hapa ingawa nimejaribu kuitizama tena na tena naona dalili zote za video kuungwa! Kuna visogo viwili, sikio pia limepoteza uhalisia .. Maeneo ya shingo na mkono wa mdada pia kuna dlili za edits. Kama kuna graphics designer hapa atanielewa.Umetumia hiyo illustrator kujiridhisha?
Ngoja jioni jioni nikitulia nipitie vizuri japo kwa naked eyes nione kama kuna vifungu naweza kudadavua kidogoSina illustrator hapa ingawa nimejaribu kuitizama tena na tena naona dalili zote za video kuungwa! Kuna visogo viwili, sikio pia limepoteza uhalisia .. Maeneo ya shingo na mkono wa mdada pia kuna dlili za edits. Kama kuna graphics designer hapa atanielewa.
Kwa watu wenye illustrator mnaweza kujiridhisha.
Cc Bradha
Yea inabidi uazime macho ya Wagumu kwanza 😀 Wengi tunaangalia burudani tunaacha upande mwingine.Ngoja jioni jioni nikitulia nipitie vizuri japo kwa naked eyes nione kama kuna vifungu naweza kudadavua kidogo
😂😂😂 kabisa yani ukianza kuangalia tu macho yanavutwa kwenye kiuno na masikio yanamsikiliza Yule kondoo anavyolia..... Hiyo baadae nitajitahidi sana kuzingatia yatakayo nipeleka japo najua nitakua na mgogoro na nafsi ila nitashindaYea inabidi uazime macho ya Wagumu kwanza 😀 Wengi tunaangalia burudani tunaacha upande mwingine.
Nafurahi kama ni njema ndugu yangu.Njema bro[emoji120][emoji120]