Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Umetumia hiyo illustrator kujiridhisha?
Sina illustrator hapa ingawa nimejaribu kuitizama tena na tena naona dalili zote za video kuungwa! Kuna visogo viwili, sikio pia limepoteza uhalisia .. Maeneo ya shingo na mkono wa mdada pia kuna dlili za edits. Kama kuna graphics designer hapa atanielewa.

Kwa watu wenye illustrator mnaweza kujiridhisha.

Cc Bradha
 
Ngoja jioni jioni nikitulia nipitie vizuri japo kwa naked eyes nione kama kuna vifungu naweza kudadavua kidogo
 
Yea inabidi uazime macho ya Wagumu kwanza πŸ˜€ Wengi tunaangalia burudani tunaacha upande mwingine.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kabisa yani ukianza kuangalia tu macho yanavutwa kwenye kiuno na masikio yanamsikiliza Yule kondoo anavyolia..... Hiyo baadae nitajitahidi sana kuzingatia yatakayo nipeleka japo najua nitakua na mgogoro na nafsi ila nitashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…