Hahahaha, amepiga kona ya ajabu sana.Kinda wa miaka 20 Trent Alexander-Arnold amegeuka shujaa wa Liverpool, ,lakini amekuwa adui mkubwa wa Barcelona.
Hahahahaa[emoji23][emoji23]Alexander-Arnold alifanya maajabu baada ya kupiga kona iliyotua mguuni mwa Divock Origi aliyefunga bao la nne na kuzima ndoto ya Barcelona kucheza Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Wanatafuta hamasa sio?Ajax has invited the directors of all 17 other Eredivisie clubs to the match vs Spurs