moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hela zinamlevya huyu jamaaMaisha ya mshambuliaji wa Brazil Neymar ndani ya klabu ya PSG yanazidi kuwa mafupi kutokana na mwendelezo wa matukio ya utovu wa nidhamu anaoendelea kuufanya ambapo safari hii anatuhumiwa kushambuliana kwa maneno na mchezaji mwenzake, Julian Draxler.