mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hila siwaachi hivi nawatupia kilande kidogo cha baba mchungaji
Pole na hongera pia.Siku ya furaha na uzuni kwa upande mwingine
pole sanaMuda wake wa kujifungua bado nilikuwa nategemea kupata twins lakini hali ya mama ilikuwa mbaya sana tumeokoa mama na mtoto mmoja nashukuru Mungu kwa kila jambo
😁Watu wamevurugwa
Mrembo sana.Kondoo aliyenona wa bishop hata papa angeteleza tuView attachment 1092082
nahitaji kuwa bishop naomba munipe utaratibu jamaniSi mchezo wacha bishop ajipigie tuView attachment 1092085
nadhani huu ni muda muafaka wa kuwa na ukaribu zaidi na mama watotoWadau nina furaha na majonzi nimekuja kuwasabahi tu kesho Mungu akipenda
😁 Programmer ndio nani sasa?Coder kasema sijui tumuone programmer
The nicer you are the easier you are hurt.
Hongera sana Mzee wa Liver. Tunamshukuru Mungu kwa Ajili yako🙏.Muda wake wa kujifungua bado nilikuwa nategemea kupata twins lakini hali ya mama ilikuwa mbaya sana tumeokoa mama na mtoto mmoja nashukuru Mungu kwa kila jambo
Hongera sana Bro!Wadau wa likes nimepata mtoto wa kiume
🤗Come here you!
Ahsante sana. Vipi hali yako?🤗Come here you!
Good thank youAhsante sana. Vipi hali yako?
Una sitilesi za nini tena?Ahsante sana. Vipi hali yako?
Karibu sana.Good thank you
I miss Consuela .. sijamuona leo hapa 🙁 .Una sitilesi za nini tena?