Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Pole sana..I miss Consuela .. sijamuona leo hapa 🙁 .
Inabidi kuzoea tu hamna haja ya kusitresika.. I am sure ana sababu ya maana ya kutotokea
Pole sana..I miss Consuela .. sijamuona leo hapa 🙁 .
Nafurahi upo hapa.Pole sana..
Inabidi kuzoea tu hamna haja ya kusitresika.. I am sure ana sababu ya maana ya kutotokea
Asante.. ngoja tumshikie shikie mpaka atakapotokea😉Nafurahi upo hapa.
Ahsante.
Asante.. ngoja tumshikie shikie mpaka atakapotokea😉
Simply beautiful
Heaven on Earth
Dah hongera sana mkuu mtoto kaja na Baraka janaWadau wa likes nimepata mtoto wa kiume
Mkuu pole na hongera sanaaMkuu nimekuja ilikuwa usiku mrefu sana kwangu lakini nimepoa sasa
Tupo sana 😂Davet,Cole Williams mpo
Itabidi umuite OrigWadau wa likes nimepata mtoto wa kiume
Tupo pamoja nduguWadau nina furaha na majonzi nimekuja kuwasabahi tu kesho Mungu akipenda