mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Ulikuwa usiku wa aina yake jana
Umeaingalia Aaaa jamaniYea inabidi uazime macho ya Wagumu kwanza 😀 Wengi tunaangalia burudani tunaacha upande mwingine.
😁Hahaha
You Need To Hear This ..
Wow..Wakati najiandaa kuangalia game ya Liverpool mke wangu alipata uchungu ghafla
Mkuu nimekuja ilikuwa usiku mrefu sana kwangu lakini nimepoa sasaMzee wa liver huyoooo
[emoji2089] [emoji2089][emoji2089]
Hongera Bro...Mungu awabarikiWadau wa likes nimepata mtoto wa kiume
Aisee pole na hongeraMuda wake wa kujifungua bado nilikuwa nategemea kupata twins lakini hali ya mama ilikuwa mbaya sana tumeokoa mama na mtoto mmoja nashukuru Mungu kwa kila jambo
Tutakoma sie...Miaka miwili mfululizo tunaenda fainali,
View attachment 1091944
Asante FragariaAisee pole na hongera
nimezitamani hizi