Habari ndiyo hiyo jirani.Costali amepigwa nane? [emoji1]
Serikali haiuzi nyamapori ila huwindisha kwa malipo maalum na watalii huachiwa hizo Trophy.Ndiyo!
Komamanga.
Habari ndiyo hiyo jirani.
Nakumbuka enzi za Coastal Union ya akina Hamis Said Makene, Ali Maumba, Hussein Mwakuruzo, Kassa Mussa, Dougras Muhani, Razak Yusufu, Juma Mgunda, Hemed Morocco huwezi kuwafunga kijinga jinga
Shwarihumu ndani hamjambo???
nilifikiri unatania, nimeangalia mpaka half time nikaamua kuacha kuifuatilia hiyo mechi. spurs wakipata goli la 3 ajax outAjax 2 - 2 Tot
Hapo sijui, mabibo hayana rangi hiyo.Sijui kwakweli.Bradha hili tunda linaitwaje View attachment 1092214
Umeona eeh, upepo umegeuka.nilifikiri unatania, nimeangalia mpaka half time nikaamua kuacha kuifuatilia hiyo mechi. spurs wakipata goli la 3 ajax out
Kuna hotel moja tunakula nyama pori tu ..Serikali haiuzi nyamapori ila huwindisha kwa malipo maalum na watalii huachiwa hizo Trophy.
Mdogo mdogo, wajiamini na wasikate tamaa wanaweza kuwashangazaAjax 2 - 2 Tot
Duu, jirani una data si mchezo! [emoji23][emoji23]