Iko njema Alhamdulillah
Safi bro, kila la kheri.Iko njema Alhamdulillah
Kuna hotel moja tunakula nyama pori tu ..
Wanatoa hukohuko.
Safi bro, kila la kheri.
Mabibo ni hayaHapo sijui, mabibo hayana rangi hiyo.Sijui kwakweli.
Jirani kwani umeshawasahau hao jamaa?
Okay,Kuna wakati TANAPA walikuwa wakiwinda na kisha kuuza nyama ya Swala.
Hata hivyo ni TANAPA tu.
Nadhani walishaacha utaratibu huo
Yanaitwaje?Siyo bibo.Mabibo ni hayaView attachment 1092217
Ajax 2 - 3 TOT
2-3 AiseeHawa Ajax kama mpira wenyewe ndio huu basi watavurugwa na Liverpool!
Wamelipata aiseenilifikiri unatania, nimeangalia mpaka half time nikaamua kuacha kuifuatilia hiyo mechi. spurs wakipata goli la 3 ajax out
HATARI SANA NGOJA NIENDE YOUTUBE.Wamelipata aisee