Lile ni daraja mkuu alafu na kile kivuko pale Ubungo nimepita juzi mvua ilikua inanyesha ebhana maji yanajaa kule kule juu yanafika kwenye ugokoNasikia flyover yetu pendwa pale tazara inamwaga maji kama Victoria Falls π π π
Mmh!She is Beautiful...She has made him the Man he is today
Kajaribu uone!Mmh!
Hahah hapana kujaribu sio kuzuri unaweza ukanasaKajaribu uone!
Mainjinia wetu kina Poti hao πLile ni daraja mkuu alafu na kile kivuko pale Ubungo nimepita juzi mvua ilikua inanyesha ebhana maji yanajaa kule kule juu yanafika kwenye ugoko
πππ wanagandisha maji angani, sasa wakiambiwa wajenge bara bara au reli underground siwataleta maafa jamaniMainjinia wetu kina Poti hao π
Mi sitapanda Metro Bongo.. tutakuja zikwa hukoπππ wanagandisha maji angani, sasa wakiambiwa wajenge bara bara au reli underground siwataleta maafa jamani
ππππHahahaha,π meaning sijasoma novels au comic books kitambo. Nnachosoma ni work related tu..
Bradha bwana...πππππππHahahaha,
Basi kaka yako huku full kugoogle kitabu cha "Data! A lot of"ππππ but where πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈ
π€£π€£π€£Hahah hapana kujaribu sio kuzuri unaweza ukanasa