Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Bale na Zidane wamekuwa si watu wa kuzungumza sana tangu alirudi kwenye klabu hiyo huku kukiwapo na taarifa nyingi kwamba mwanasoka huyo aliyesajiliwa kwa ada iliyovunja rekodi ya dunia mwaka 2013 hatakiwi kuwapo Bernabeu kwa msimu ujao.