Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

26866055_315340705623001_1056671373402832896_n.jpg
 
Liverpool ni maadui wa Man United na Spurs ni maadui wa Arsenal. Hivyo kinachosemwa ni kwamba mashabiki wa timu hizo wamegawana, Man United wanataka Spurs wamebebe ubingwa wa Ulaya na wale wa Arsenal wao wanataka Liverpool ndio wanyakua ubingwa huo. Ajabu, Man United na Arsenal ndio wanaoteseka.
 
Shabiki mmoja wa Arsenal alipongeza hata timu hiyo haijashika nafasi ya nne kwa sababu ingefanya hivyo na Spurs ingemaliza ligi nafasi ya tano na kubeba ubingwa wa Ulaya, basi ingebidi wao ndio wawapishe mahasimu wao hao kitu ambacho kingewaumiza sana.
 
Back
Top Bottom