Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Mafuriko ya Dar 😬
Mafuriko ya Dar 😬
Mungu mjuzi
Watch and Learn
😁Mtu mmoja ndiye aliyetoa kali zaidi alipoandika: “Hii si fainali ya Liverpool na Spurs. Ni ya mashabiki wa Man United dhidi ya mashabiki wa Arsenal.”
Kibajaji kimekosea njia hiki
🙏🙏🙏Kuelekea jioni Mungu atupe jioni njema
Jaguar ni gari bana [emoji848][emoji16]
🙏Tufike nyumbani salama..