Aisee! Asante mkuuBendi ya music, ilikuwa na makazi yake mjini Iringa.
Ilianzishwa na kampuni ya kukata Almas ya Iringa miaka ya 80, ikapotea miaka ya 90.
Hahahahahahahaa hata gwajima tumeshaona kipaji chake cha pili. Chako sipati picha nani alikukurupushaNina kimbia sana kumbe naweza kuwakilisha Taifa katika mchezo wa kukimbia
Hahah! Gwajima tusubiri kesho tuone ni kipaji kweli au uzushiHahahahahahahaa hata gwajima tumeshaona kipaji chake cha pili. Chako sipati picha nani alikukurupusha
[emoji23][emoji23]Ningeshangaa sana bro, subirini Liverpool ifungwe mtutanie bro[emoji23][emoji23]Hakuna mahali tumeogopa kutaniwa bro ata sisi tulichokua tunajadiri hapo ilikua ni kuwatania wapinzani
Salam kwenu wote
Mimi nikichukua league tu naanza tambo zangu[emoji23][emoji23]Ningeshangaa sana bro, subirini Liverpool ifungwe mtutanie bro[emoji23][emoji23]
Bro ni timu gani maana sikuelewi elewi?Mimi nikichukua league tu naanza tambo zangu
Mhh!!