Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Timu zangu ni hizo hizo mbili mkuu sina nyingineBundesliga, Serie A, Ligue 1, TPL.
Nakushauri punguza idadi ya timu za nje ili ubaki salama.
Chagua timu moja nyingine zipende juu juu tu. Vinginevyo utalazimika kuwa na timu kila ligi kubwa kama nilivyoosha hapo juu na hiyo itakuletea usumbufu.